
Wanyamapori waanza kuhifadhiwa Kambi ya Ruvu JKT Kibaha
Kibaha. Kambi ya Ruvu JKT Kibaha Mkoa wa Pwani imeanza kuingiza aina mbalimbali za wanyama kutoka porini ndani ya eneo lenye ukubwa wa zaidi ya eka 70. Kikosi hicho cha jeshi, kimetenga eneo hilo kwa lengo la kuanzisha bustani ya wanyama ambao baada ya kuwatoa porini wanawapa mafunzo ya namna ya kuishi na binadamu ili…