
Ken Gold yataka mastaa wa Ligi Kuu
Ken Gold imesema itakuwa makini kufuatilia mechi zilizobaki za Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho (FA) ili kupata wachezaji watakaojumuishwa katika kikosi cha timu hiyo msimu ujao. Pia imesisitiza kuwa siyo kwa timu kubwa za Simba na Yanga, bali hata nyingine zinazocheza Ligi Kuu ikiwamo KMC, Coastal Union, Prisons na Ihefu itazifuatilia ili kuhakikisha…