Wagombea Chadema waanza kusaka kura

Dar es Salaam. Siku moja baada Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuteua majina ya watakaowania uongozi katika kanda nne kwenye uchaguzi utakaofanyika Mei 29, 2024 baadhi ya wagombea wamefunguka walivyojipanga kusaka kura, huku wengine wakianza kampeni kupitia mitandao ya kijamii. Jana Ijumaa Mei 17, 2024 Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo…

Read More

MAHAKAMA YA RUFAA YAFUTA HUKUMU YA MIKOPO CHECHEFU

  Na Mwandishi Wetu MAHAKAMA ya Rufaa imetengua hukumu iliyotolewa na Mahakama kuu divisheni ya biashara katika moja ya kesi maarufu za mikopo chechefu baina ya kampuni ya State Oil dhidi ya Benki ya Equity kesi ambayo Mahakama Kuu hiyo chini ya Jaji Magoiga iliipa ushindi kampuni ya husika ambayo ilikopa dola milioni 18 (zaidi…

Read More

RUWASA yachongewa, yateketeza mamilioni kwa maji yenye magadi

SAKATA la ukosefu wa maji wilayani Momba mkoani Songwe limezidi kushika kasi baada Diwani wa Kata ya Ivuna – Bonde la Kamsamba, Erick Mkamba ‘Magazeti’ kudai kuwa mamilioni fedha ya miradi ya maji iliyotolewa na Serikali, yamepotea kwa kuelekezwa kwenye miradi isiyokuwa na tija kwa wananchi. Anaripoti Ibrahim Yassin, Songwe… (endelea). Mkamba ameyasema hayo jana…

Read More

Wanafunzi wataka pedi ziondolewe kodi, zitolewe bure shuleni

Dar es Salaam. Katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Hedhi Salama Duniani Mei 28 mwaka huu, wasichana kutoka shule mbalimbali za msingi na sekondari nchini wametoa mapendekezo manne ikiwamo kuiomba Serikali kuondoa kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) katika taulo za kike (Sodo). Pendekezo lingine ni ugawaji wa pedi bure kwa wasichana wote walioko shuleni…

Read More

RC Chongolo atangaza ‘vita’ kwa wanaovusha wageni kinyemela

KATIKA kulinda usalama wa nchi kupitia mpaka wa Songwe, Mkuu wa mkoa huo, Daniel Chongolo ametangaza ‘vita’ kwa wananchi watakaojihusisha na shughuli za uvushaji na usafirishaji haramu wa binadamu. Anaripoti Ibrahim Yassin, Songwe… (endelea). Chongolo aliyasema hayo jana Ijumaa wakati akizungumza na wananchi kupitia mikutano alipokuwa akihitimisha ziara yake ya kikazi wilayani Momba. Amesema zipo…

Read More