Sh38 bilioni kuwanufaisha wakulima wadogo nyanda za juu kusini

Pwani. Wafadhili kutoka Canada, wametoa Sh38 bilioni kusaidia shughuli za kilimo nchini kuhimili athari za mabadiliko ya tabianchi. Makali ya mabadiliko ya tabianchi yameendelea kuumiza vichwa vya mataifa tajiri duniani yanayotafuta suluhu na kuwezesha nchi zinazoendelea katika kupambana na hali hiyo. Hata hivyo, mabadiliko ya tabia nchi yanagusa nchi zote na kwa Tanzania katika  kilimo…

Read More

NAIBU WAZIRI MWANAIDI AOMBA BUNGE NA JAMII KUUNGA MKONO JITIHADA ZA SERIKALI MAPAMBANO DHIDI YA UKATILI

Na WMJJWM-Dodoma. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ameweka msisitizo kwa kuliomba Bunge na Jamii kwa ujumla kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan za mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili na mmomonyoko wa maadili nchini. Naibu Waziri Mwanaidi ameyasema hayo…

Read More

WANANCHI WAIPONGEZA TANROADS-MOROGORO KWA KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA WILAYANI MALINYI

Baadhi ya wananchi katika Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro wameipongeza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kuendelea na kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya barabara na madaraja ambayo imeathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali. Wamesema kuwa mvua zinazoendelea kunyesha katika mkoa huo zimesababisha maji kupita juu ya barabara na…

Read More

Coastal, Azam nusu fainali ya kibabe FA

KESHO mchezo wa nusu fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho utachezwa katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza kati ya Coastal Union dhidi ya Azam FC, huku vita kubwa ikiwa ni kusaka nafasi ya kucheza Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao. Azam FC inakamata nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 60…

Read More

KHRC yawashtaki mawaziri kwa uzembe – DW – 18.05.2024

Kelly Malenya, wakili wa KHRC, ameliambia shirika la habari la Ujerumani dpa kwamba waliwasilisha kesi hiyo mahakamani hapo jana na kwamba wamewashtaki Kithure Kindiki Waziri wa Mambo ya Ndani, Soipan Tuya waziri wa Mazingira na Alice Wahome waziri wa Ardhi. Mwanasheria mkuu Justin Muturi ni miongoni mwa watu wanaohusishwa pia katika kesi hiyo inayolikabili pia…

Read More