
Mfumo wa ulinzi Ikulu, makazi ya Rais kuimarishwa
Unguja. Ofisi ya Rais, Ikulu, kwa mwaka wa fedha 2024/25 imepanga kutekeleza miradi mitatu ya maendeleo, ukiwamo wa uimarishaji wa mfumo wa ulinzi na usalama katika majengo ya Ikulu na makazi Rais. Akisoma hotuba ya bajeti Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu, Ali Suleiman Ameir, amesema mradi mwingine ni uimarishaji wa mfumo wa ulinzi…