
KUELEKEA SIKU YA VIPIMO DUNIANI WMA YAENDELEA KUTOA ELIMU, KUKUMBUSHA SHERIA KWA WADAU
KUELEKEA Maadhimisho ya Siku ya Vipimo Duniani inayoadhimishwa Mei 20 kila mwaka, Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA,) imeendelea kuwafikia wadau mbalimbali na kutoa elimu na kuwakumbusha masuala mbalimbali yanayohusu vipimo ikiwemo uzingatiaji wa sheria za vipimo pamoja na afya. Akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Sterio, Temeke jijini Dar es Salaam Meneja wa WMA Mkoa…