
Sh1.3 bilioni za China kusaidia waathirika wa mafuriko nchini
Dar es Salaam. Katika kuonyesha uhusiano wa karibu baina ya Tanzania na China, Serikali ya nchi hiyo imetoa mchango wa Sh 1.3 bilioni kwa ajili ya kusaidia waathirika wa mafuriko ya mvua yaliyoikumba Tanzania mwaka huu. Maeneo kadhaa ya Tanzania yameathiriwa na mvua kubwa za masika zilizochanganyika na zile za El Nino na Waziri wa…