Kenya yakabiliwa na kiunzi kipya cha kutuma polisi Haiti – DW – 17.05.2024

Chama cha kisiasa cha Muungano wa Thirdway Alliance Kenya na wanachama wake wawili waliwasilisha malalamishi hayo siku ya Alhamisi (16.05.2024) , wakisema kwamba serikali imepuuza amri ya mahakama iliyotolewa mwezi Januari. Mahakama ilisema hatua ya kupelekwa polisi wa Kenya nchini Haiti inakiuka katiba na ni kinyume cha sheria. Waliowasilisha hoja hiyo mahakamani hapo Alhamisi, wamesema…

Read More

TPDC yaingia mkataba mwingine usambazaji gesi asilia

Dar es Salaam. Shirika la Maendeleo la Petroli Tanzania (TPDC) limesaini mkataba wa makubaliano ya uwezeshaji wa kufanya upembuzi yakinifu wa ujenzi na uendelezaji wa mradi mdogo wa gesi kimiminika (Mini LNG), itakayosambazwa mbali na maeneo yaliyopita mabomba ya gesi. Makubaliano ya ubia uliyoingiwa leo Mei 17, 2024  kati ya TPDC, Rosetta na Africa 50…

Read More

Haya hapa majina walioteuliwa kugombea nafasi mbalimbali CHADEMA

CHAGUZI wa kanda za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zimeendelea kupamba moto baada ya Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema kutangaza majina ya wagombea walioteuliwa kuwania nafasi mbalimbali. Katika uchaguzi wa safari hii Chadema imeendesha usaili maalum kwa wagombea katika kanda nne zinazotarajiwa kufanya uchaguzi hivi karibuni. Hayo yanajiri ikiwa…

Read More

Ujerumani yatakiwa kuimarisha sera za ulinzi wa mazingira – DW – 17.05.2024

Serikali ya Ujerumani imetakiwa kuimarisha mipango yake ya ulinzi wa mazingira kutokana na hatua zilizoko hadi sasa kuonesha ufanisi kidogo wa kufanikisha malengo ya nchi ya mazingira. Soma: Ujerumani: Itashirikiana na Tanzania katika utunzaji wa mazingira. Uamuzi huo umetolewa na mahakama ya juu ya Berlin-Brandenburg, ambayo imeunga mkono kesi mbili zilizowasilishwa na shirika la ulinzi wa…

Read More

Uingereza yamwaga bil. 9 kumuunga mkono Samia matumizi nishati

Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesema jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika kubeba ajenda ya nishati safi ya kupikia, zimeendelea kuzaa matunda baada ya Serikali ya Uingereza kuthibitisha kuipatia Tanzania dola za Marekani milioni 1.8 (Sh 8.8 bilioni) ili kutimiza malengo ya ajenda hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu ……

Read More

Muundo INEC waendelea kukosolewa na wadau

Dar es Salaam. Ukiwa umepita mwezi mmoja tangu Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ianze kutumika, baadhi ya wadau wameendelea kuikosoa wakisema haijakidhi malalamiko ya wananchi kuhusu uendeshwaji wa uchaguzi nchini. Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na.2 ya 2024 ni miongoni mwa sheria tatu zilizotiwa saini na Rais Samia Suluhu…

Read More

Askari wa Kike wajengewa uwezo wa kiutendaji

Katibu wa Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania, Kamishna Msaidizi Mwanadamizi wa Polisi (SACP) Pili Mande pamoja na timu yake aliyoambatana nayo Mei 17, 2024 amekutana na kuzungumza na askari wa kike ikiwa ni pamoja na kutoa elimu ya kuwajengea uelewa askari hao wa Mkoa wa Kilimanjaro. SACP Mande, tayari amepita Mikoa mbalimbali nchini na kukutana…

Read More