
Serikali, viongozi wa dini wajadili kutokomeza uhalifu
Dodoma. Katika kukabiliana na matukio ya uhalifu yanayotokea katika jamii Serikali imefanya kikao maalumu na viongozi wa dini chenye lengo la kudhibiti matukio ya uhalifu. Akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika jijini Dodoma leo Mei 17, 2024 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewaomba viongozi hao wa dini kuendelea kuisaidia na isichoke…