
TMA yatoa taarifa uwepo wa kimbunga “IALY” Bahari ya Hindi
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuna uwepo wa kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar. Tofauti na Kimbunga Hidaya, kimbunga IALY kwa mujibu wa TMA, kitaishia katika bahari ya Hindi katika eneo kati ya Madagascar na visiwa vya Shelisheli kwa siku nne zijazo. Taarifa hiyo…