
TANZANIA YAHIMIZA WAWEKEZAJI UMOJA WA ULAYA KUSHIRIKI KATIKA FURSA ZA UWEKEZAJI KWENYE MADINI YA KIMKAKATI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb.), jana Mei 16 ameshiriki na kuchangia katika Mkutano wa Jumuiya ya Ulaya (EU) unaojadili upatikanaji wa Madini adimu (Critical Minerals ) huko Brussels nchini Ubelgiji. Akichangia kwenye Mkutano huo, Prof. Mkumbo amesema kuwa Tanzania ina sehemu muhimu katika kufanikisha agenda ya…