
Wataka fursa ziguse wakulima, wafugaji wadogo
Dar es Salaam. Wadau wa kilimo, uvuvi na ufugaji wamesema hatua ya Serikali ya kuendelea kuzifungamanisha taasisi za fedha na sekta hizo ni hatua nzuri. Lakini wametoa angalizo kuwa fursa hizo ziwaguse wakulima, wafugaji wakubwa na wadogo badala ya kuwaangalia zaidi wakubwa. Walieleza hayo jana wakati wakitoa maoni yao kuhusu hatua ya Benki ya Maendeleo…