
Kwanini New Caledonia imekumbwa na ghasia? – DW – 16.05.2024
Kisiwa cha New Caledonia kinapatikana, Kusini mwa bahari ya Pasifiki, Mashariki mwa Australia na kiko chini ya himaya ya Ufaransa. Bunge la Ufaransa mjini Paris limekuwa likijadili muswaada wa kufanya mageuzi ya katiba ya kisiwa hicho ili kuwapa fursa raia wake wasiokuwa wenyeji wa kisiwa hicho kuwa na haki ya kupiga kura. Lakini baadhi ya…