
Waziri Mkuu: Tanzania imepiga hatua sekta ya mawasiliano
Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazopiga hatua kubwa kwenye sekta ya mawasiliano na teknolojia ya habari. Amesema kuwa mipango na mikakati iliyowekwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano inakua, imeonesha kuleta matokeo chanya katika maendeleo ya Taifa. “Ninatoa…