NEMC yatoa siku 90 vituo afya kuwa na maeneo ya kuteketeza taka

Dar es Salaam. Siku 90 zimetolewa kwa vituo vya kutolea huduma za afya ikiwemo zahanati kuhakikisha vinakuwa na sehemu maalumu za kuchomea taka hatarishi, watakaokiuka hilo wanaweza kusitishiwa utoaji huduma. Wasiokuwa na maeneo hayo wametakiwa kuhakikisha taka zao zinakusanywa na makandarasi waliosajiliwa kufanya kazi hiyo na si wanaozoa taka majumbani. Agizo hilo limetolewa na Baraza…

Read More

RC MANYARA AAGIZA SOKO JIPYA KATESH LIANZE KUTUMIKA.

Na John Walter -Hanang’ Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga ameiagiza Halmashauri ya wilaya ya Hanang’ kukamilisha haraka taratibu zote ili soko jipya lianze kutumiwa na wafanyabiashara. Aidha,ameagiza shughuli katika soko hilo kuanza mara moja kabla ya siku ya Ijumaa Mei 24, 2024 ili kutoa huduma kwa Wananchi na kuchochea uchumi wa wafanyabiashara, Halmashauri…

Read More

EXIM Bank, Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania wapanda miti na kuchangisha damu  – MWANAHARAKATI MZALENDO

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa benki ya EXIM, Stanley Kafu (aliyeshikilia kipaza sauti), akitoa maelezo kwa Dkt. Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati (wa tatu kutoka kushoto), kuhusu mipango ya EXIM alipotembelea banda la benki hiyo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Msalaba Mwekundu Duniani yaliyofanyika tarehe 11 Mwezi…

Read More

Mbangula naye anajishangaa | Mwanaspoti

WAKATI wadau na mashabiki wakijiuliza kasi ya straika wa Tanzania Prisons, Samson Mbangula kupungua, mwenyewe amesema naye anashangaa kwanini hafungi tangu alipoifunga Simba. Mbangula alikuwa na muendelezo mzuri wa kufunga mabao lakini tangu amefunga mabao mawili dhidi ya Simba, Machi 6 mwaka huu wakati Tanzania Prisons iliposhinda 2-1, hajaingia tena wavuni. Staa huyo ambaye ni…

Read More