
Wanasiasa hawasaidii mchakato wa Katiba mpya
Seneta wa jimbo la Busia, nchini Kenya, Okiya Okoiti Andrew amesema Tanzania haiwezi kupata Katiba mpya kwa kuwategemea wanasiasa pekee bali kila mwananchi anapaswa kushiriki kikamilifu kuidai. Anaripoti Salehe Mohamed, Zanzibar … (endelea). Kauli hiyo ameitoa leo Alhamisi katika mkutano wa demokrasia wa mwaka 2024 unaofanyika katika hoteli ya Golden Tulip Zanzibar, ambapo amesema Kenya…