
Bosi: Tatizo Geita Gold ni wachezaji
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Yefred Myenzi amesema timu hiyo kutofanya vizuri kwenye Ligi Kuu na kuwaweka kwenye presha ni kutokana na usajili mbovu wa wachezaji. Geita ambao huu ni msimu wao wa tatu Ligi Kuu, kwa sasa hawajawa na matokeo mazuri wakiwa nafasi mbili za mkiani wakikusanya pointi 25 wakisota kwa muda…