
Mbinu mpya za ukeketaji zamulikwa
Morogoro. Wakati Serikali ikipambana na vitendo vya ukekektaji nchini, baadhi ya jamii zinazoendeleza mila hizo zimekuja na mbinu mpya ya kutumia dawa aina ya Vicks, ndulandula pamoja na majivu ambayo yamekuwa yakiondoa taratibu sehemu inayotakiwa kukeketwa bila kuweka jeraha. Hayo yamebainishwa jana Mei 15, 2024 na Joshua Ntandu Ofisa Mtendaji Mkuu wa shirika lisilokuwa na…