
TAASISI ZA FEDHA ZAKOPESHA TRILIONI 33
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma. Serikali imesema kuwa hadi kufikia tarehe 31 Desemba 2023, mikopo yenye jumla ya shilingi trilioni 33.2 imetolewa na Benki na taasisi za fedha ambazo hutoa mikopo yenye dhamana inayotosheleza (fully secured), yenye dhamana inayotosheleza sehemu tu ya mkopo(partially secured) na isiyo na dhamana (unsecured). Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na…