Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Month: May 2024

  • Home
  • 2024
  • May
  • Page 16
Habari

FCC KUTUMIA AKILI MNEMBA KUIMARISHA UTENDAJI KAZI

May 30, 2024 Admin

  Na: Hughes Dugilo, DAR ES SALAAM. Kukua kwa Teknolojia katika Sekta ya TEHAMA na uwepo wa akili mnemba (IA), kutasaidia kuongeza tija na ushindani

Read More
Habari

Ukarabati kivuko cha MV Magogoni kukamilika Desemba

May 30, 2024 Admin

Dodoma. Bunge limeelezwa ukarabati wa kivuko cha Mv Magogoni utakamilika mwishoni mwa Desemba, 2024 na kitaanza kutumika. Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya amesema hayo

Read More
Habari

WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA TAASISI ZA KIFEDHA KUZITAMBUA HATI ZA KIMILA

May 30, 2024 Admin

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini kuzitambua hati za kimila kama dhamana ya kutoa mikopo kwa wananchi. Amesema kuwa hati

Read More
Habari

BUNGE LAPITISHA BAJETI WIZARA YA UJENZI KWA ASILIMIA 100

May 30, 2024 Admin

Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100 ambayo inakwenda kutekeleza vipaumbele tisa kwenye miradi mbalimbali

Read More
Habari

Chelsea, Wolves na Newcastle timu tatu kati ya nyingi za Premier League kuuliza kuhusu mlinda mlango wa La Liga.

May 30, 2024 Admin

Msimu huu, Villarreal ilikuwa moja ya timu mbaya zaidi kwenye safu ya ulinzi ya La Liga, lakini haijasitishwa, kipa Filip Jorgensen kuonesha kiwango kizuri barani

Read More
Habari

Wadau wa ununuzi wakumbushwa kuzingatia uadilifu, uaminifu

May 30, 2024 Admin

Dar es Salaam.  Serikali imewataka wadau wa sekta ya ununuzi wa umma kuhakikisha wanazingatia misingi ya uadilifu, uaminifu na haki katika michakato ya ununuzi wa

Read More
Habari

Vijana Wawekewa Mazingira ya Fursa ya Ajira ya Fani ya Mechatronics-Mwalim u VETA Kipawa

May 30, 2024 Admin

 Mwalimu wa VETA Kipawa Ricky Sambo akizungumza na Wanafunzi wa Sekondari Waliotembelea Banda la VETA katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu,Ubunifu na Ujuzi yanayoendelea katika

Read More
Habari

Sheria za bodaboda kufutwa Zanzibar.

May 30, 2024 Admin

Naibu waziri wa Ujenzi mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe Nadir Abdullatif akijibu hoja za Waheshimiwa wawakilishi Kwenye Baraza la wawakilishi linaloendelea Chukwani Zanzibar amesema madereva

Read More
Habari

Sagini azungumzia wanafunzi kufeli mitihani ya uwakili

May 30, 2024 Admin

Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini ameitaka Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST), kutoa mrejesho wa uwezo wa

Read More
Habari

JUMUIYA YA SHIA WAMPONGEZA RAIS DK.MWINYI KWA MAENDELEO

May 30, 2024 Admin

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameushukuru uongozi wa Jumuiya ya Shia Tanzania kumpongeza kwa kazi nzuri anazozifanya

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 15 16 17 … 279 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.