
Majeruhi wanne ajali iliyoua Saba morogoro waruhusiwa kutoka hospitali
Majeruhi wanne kati ya watano waliokuwa wanatibiwa katika hospitali ya Wilaya Mvomero waliotokana na ajali iliyoua watu saba wameruhusiwa kutoka hospitali huku mmoja akipelekwa hospitali ya Rufaa Mkoa Morogoro kwa matibabu zaidi. Akizungumza na ayo tvna Millard ayo .com Mganga mfawidhi hospitali ya Wilaya Mvomero Dokta Frances Paul amesema majeruhi hao wanne walitibiwa na kuruhusiwa…