Usafiri wa anga ni kichocheo cha ukuaji uchumi-DK.Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema sekta ya utalii ina mchango mkubwa katika maendeleo ya uchumi wa nchi kupitia usafiri wa anga ambao ni kichochea kikuu cha ukuaji wa uchumi. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo alipofungua Kongamano la sita la usafiri wa anga Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Hoteli…

Read More

Mapigano ya vijiji jirani Mara yamkera RC Mtambi

Serengeti. Mkuu wa Mkoa wa Mara, Evans Mtambi amemwagiza Kamanda wa Polisi Mkoa huo kuwakamata watu wote waliohusika kwenye tukio lililosababisha watu wanne kujeruhiwa na nyumba kadhaa kubomolewa na zingine kuchomwa moto katika Kijiji cha Mekomariro Wilaya ya Bunda na Remng’orori wilayani Serengeti. Tukio hilo lilitokea Mei 12, 2024 asubuhi baada ya watu wanaodaiwa kutoka…

Read More

MBINGA VIJIJINI TUTAENDELEA KUTENGA FEDHA KUTEKELEZA MIRADI YENYE TIJA KWA WANANCHI – HAULE

Na Stephano Mango, Mbinga MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Desderius Haule amebainisha kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga itaendelea kutenga fedha za mapato ya ndani kwa ajili ya ukamilishaji na utekelezaji wa miradi mipya itayokwenda kuleta tija kwa wananchi. Haule amebainisha jana akijibu swali la Diwani wa Viti maalum Kata ya Kihangimahuka Leonora…

Read More

Tuzo za wanamichezo bora BMT zaiva

WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT), limeandaa tuzo za wanamichezo bora mwaka 2023 zinazotarajiwa kufanyika Juni 9, 2024 kwenye Ukumbi wa Super Dome uliopo Masaki, Dar es Salaam. Tuzo hizo ni mara ya pili kufanyika baada ya mwaka jana, Machi 17, 2023 kwenye Ukumbi wa Mlimani City. Mwenyekiti wa BMT,…

Read More

Dola bilioni 2.2 zaahidiwa kwa ajili ya nishati safi Afrika – DW – 15.05.2024

Shirika la kimataifa la Nishati IEA limetangaza kuwa dola bilioni 2.2 za kimarekani zimeahidiwa na makampuni na serikali ili kuboresha upatikanaji wa nishati safi na salama barani Afrika. Taarifa hiyo imetolewa baada ya kumalizika kwa mkutano wa kilele uliowakutanisha pamoja viongozi wa mataifa 60 mjini Paris, Ufaransa. Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alikuwa miongoni mwa…

Read More

Vodacom kurejesha vifurushi kwa walioshindwa kuvitumia

Dar es Salaam. Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC imeutangazia umma na wateja wake kurejesha huduma za kimtandao kikamilifu, ikieleza walioshindwa kutumia huduma ya intaneti watarejeshewa vifurushi vyao.  Kwa muda wa siku nne mfululizo nchini watumiaji wa huduma za mtandao walipata changamoto kutokana na kupungua ubora wa intaneti kulikosababishwa na kukatika nyaya za mkongo …

Read More

Hakuna aliye salama Ligi Kuu Bara

LIGI Kuu Bara inakwenda ukingoni huku ikibaki kati ya michezo mitatu hadi minne kwa baadhi ya timu ili kumaliza msimu huu, lakini mbali na bingwa kupatikana ambaye ni Yanga aliyebeba mara tatu mfululizo, kuna vita kubwa ipo katika nafasi ya kushuka daraja. Katika msimamo wa Ligi Kuu Bara kuanzia timu inayoshika nafasi ya tano hadi…

Read More