Wabunge na hoja tano zilizoibua hisia Bunge la Bajeti

Dar es Salaam. Ukiwa umetimia mwezi mmoja tangu Bunge la Bajeti lianze vikao vyake, hoja tano za wabunge zimeibua mjadala kwenye mitandao ya kijamii na watu tofauti wamezizungumzia ama kwa kuzikosoa, kuzishangaa na wengine kuziunga mkono. Hoja hizo ni pamoja na kuondolewa kwa fedha za kujikimu (boom) kwa wanafunzi wa elimu ya juu, tozo za…

Read More

BoT yatoa angalizo mikopo ‘kausha damu’

Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imewataka Watanzania kutoa taarifa juu ya uwepo wa taasisi, kampuni au watu binafsi wanaofanya biashara ya kukopesha bila kuwa na leseni au kutozingatia taratibu zilizowekwa. Hatua hiyo imefikiwa ikiwa ni udhibiti wa watu wanaotoa mikopo kiholela ambayo baadhi imekuwa ikiwaumiza wananchi kwa kuwapa riba kubwa ikilinganisha na…

Read More

FCS NA TRADEMARK AFRIKA WASAINI KUTEKELEZA MRADI WA BIL. 2.3

  Dar Es Salaam Tanzania, 14 Mei 2024  Foundation for Civil Society (FCS) na TradeMark Africa wamesaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kuboresha mazingira wezeshi na jumuishi ya kibiashara kuhakikisha wanawake, vijana na watu wenye ulemavu wanajumuishwa kikamilifu katika uendeshaji wa biashara, kukabiliana na changamoto kubwa za kimfumo katika biashara na changamoto ya tabia…

Read More

RC Serukamba azionya taasisi zisizotumia mfumo wa NeST

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital-Iringa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba ametoa onyo kwa watendaji wa taasisi nunuzi wanaotumia visingizio mbalimbali kukwepa kutumia Mfumo wa Usimamizi wa Ununuzi wa Umma Kielektroniki (NeST) unaosimamiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA). Serukamba ametoa onyo hilo Mei 13, 2024 mjini Iringa wakati akifungua mafunzo…

Read More