
DKT. JAFO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAZINGIRA NA NISHATI WA UINGEREZA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mazingira na Nishati wa Uingereza Mhe. Lord Benyon jijini Paris nchini Ufaransa leo tarehe 14 Mei, 2024. Kikao hicho kimefanyika kando ya Mkutano wa Nishati Safi ya Kupikia ambao Mwenyekiti Mwenza ni Rais…