
Mbunge Abood akabidhi Madawati Mazimbu sekondari yenye thaman zaidi ya milioni 25
Mbunge wa Jimbo la Morogoro MJINI Mhe. Dokta Abulaziz Abood ametoa msaada wa Madawati yenye thamani ya zaidi ya Tsh. Mil. 25 katika Shule ya Sekondari ya Mazimbu Manispaa ya Morogoro kama sehemu ya utekelezaji wa ahadi yake kufuatia ziara yake ya kutembelea na kukagua maendeleo ya Shule mpya zilizojengwa katika Halmashauri hiyo . Zoezi…