EXIM Bank, Msalaba Mwekundu wapanda miti, wachangisha damu

  BENKI ya Exim imeshirikiana na Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS) pamoja na Mpango wa Damu Salama Tanzania (NTBS) kupanda miti na kuendesha zoezi la uchangiaji damu katika maadhimisho ya Siku ya Msalaba Mwekundu Duniani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Maadhimisho hayo yaliyofanyika jijini Dodoma ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Dk. Dotto Biteko, Naibu…

Read More

Sh500 bilioni kutumika kuboresha miundombinu Muhimbili

Dodoma. Sh500 bilioni zitatumika kuijenga upya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ili kuwezesha huduma zote za kibingwa na ubingwa bobezi kupatikana. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hayo leo Jumanne Mei 14, 2024 alipojibu swali la mbunge wa Konde, Mohamed Said Issa. Katika swali, mbunge huyo amehoji kwa kuwa matibabu ya kibingwa na bobezi bado…

Read More

Tatizo Prisons hili hapa, Mashujaa kazi ipo

KICHAPO cha bao 1-0 walichopata Tanzania Prisons juzi dhidi ya Ihefu, kimemuamsha Kocha Mkuu wa timu hiyo, Ahmad Ally akitaja sababu tatu zilizowanyima ushindi kwenye mchezo huo. Prisons ikicheza nyumbani juzi ilifikisha mchezo wa nane mfululizo bila kushinda ikiwa ni kupoteza miwili dhidi ya Ihefu na Mtibwa Sugar na sare sita na kuwa nafasi ya…

Read More

Waziri SMZ akoshwa na kazi za Global Education Link

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar SMZ imesema itaendesha msako na kuzifutia usajili wa wakala wa elimu ya nje ambao wanafanya kazi zao kwa ubabaishaji. Aidha, imeipongeza Global Education Link GEL kwa mchango mkubwa inayotoa kwenye sekta ya elimu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Hayo yalisemwa jana Jumatatu na Naibu Waziri wa Naibu Waziri wa Elimu…

Read More

Shule ya Kimataifa ya Al-Irshaad yakuza vipaji

-Vijana wake wa Mpira wa miguu kumenyana  na Tottenham na Wolves Shule ya Kimataifa ya Al-Irshaad iliyopo Masaki Jijini Dar es Salaam inawataka Watanzania kupeleka watoto wao kupata elimu shuleni hapo ili kuvumbua na kuendeleza vipaji vya vijana wa Kitanzania. Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Salim Sadiq anasema swala la kukuza vipaji na kuviendeleza ni…

Read More

Kisa Wydad, Ayoub aandaliwa miaka miwili Simba

UBORA aliouonyesha kipa wa Simba, Ayoub Lakred kwenye mechi alizocheza tangu atue umewakuna vigogo wa timu hiyo ambao wamepanga kumpa mkataba mpya utakaomfanya abaki kwa miaka miwili na kuzuia dili la kujiunga na Wydad Casablanca ya nchini kwao. Ayoub alitua Simba mwanzoni mwa msimu huu kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea katika Klabu ya FAR…

Read More

MIUNDOMBINU YA BARABARA INAYOJENGWA NI KWAAJILI YA KUWASAIDIA WANANCHI – MHE KATIMBA

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema Serikali imekuwa ikijenga miundombinu mbali mbali kama vile Barabara kwa lengo la kuwasaidia Wananchi hivyo Serikali haitasita kuchua hatua kwa anayekwamisha jitihada hizo. Mhe. Katimba amesema hayo leo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha…

Read More