
Kiwango cha biashara baina ya Tanzania na Uganda chafikia Dola Millioni 400
Kiwango cha biashara baina ya Tanzania na Uganda kina kadiriwa kufikia thamani ya dola za marekani milioni 400 mpaka disemba mwaka jana ambapo Tanzania imeuza bidhaa na huduma nchini Uganda zenye thamani ya dola milioni 196 ikilinganishwa na dola milioni 186 za mauzo ya bidhaa na huduma nchini kutoka Uganda. Hayo yamesemwa jijini Dar es…