
NBC yatoa vifaa tiba hospitali ya Mpitimbi Songea
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa misaada ya vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya Sh. 11.5 milioni kusaidia kuboresha huduma za afya katika Hospitali ya Mpitimbi, Songea Mkoani Ruvuma. Vifaa hivyo ni kitanda cha kujifungulia 1, vitanda vya wagonjwa 15, magodoro 15, madawa na vifaa tiba. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Vifaa tiba…