
TAWA yatoa tahadhari kwa wakazi wa DAR juu ya uwepo wa Mamba na Viboko
NA MWANDISHI WETU Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wametakiwa kuchukua taadhari kutokana na kuwepo kwa uwezekano wa Mamba na Viboko kuzagaa kwenye maeneo ya makazi baada ya kusombwa na maji yaliyotokea kwenye mito kuelekea Baharini baada ya kunyesha kwa mvua kubwa zilizosababisha mafuriko katika maeneo mbalimbali nchini. Tahadhari hiyo imetolewa na Mhifadhi wa…