
MODULI YA KUWASILISHA RUFAA ZA ZABUNI KIELETRONIKI MBIONI KUANZA
Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imesema moduli ya mfumo mpya wa kuwasilisha na kushughulikia malalamiko na rufaa kwa njia ya kieletroniki (Complaint and Appeal Management) utaanza kufanya kazi rasmi kuanzia tarehe 1 Julai 2024. Hayo yamebainishwa na Katibu Mtendaji wa PPAA, Bw. James Sando alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha Joto la…