
WAZIRI NAPE AWATAKA WANANCHI WA NAMELOCK -KITETO KUTUMIA MTANDAO VIZURI BILA KUDHALILISHA WALA KUTUKANA WENGINE.
Na Janeth Raphael MichuziTv – KITETO, MANYARA WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nnauye (mb) amewataka Wananchi wa kijiji cha Kinua kilichopo kata ya Namelock Wilayani Kiteto kutumia mtandao vizuri kwa kufanya mambo ya maana na sio kumtukana mtu au kuandika mambo yasiyofaa katika mitandao hiyo ikiwemo udhalilishaji wa Mitandaoni. Waziri…