
Ripoti ya CAG Zanzibar yaonesha dosari matumizi ya umma – DW – 13.05.2024
Hayo yamefichuliwa licha ya kauli za serikali ya Zanzibar za kukemea ubadhirifu na matumzi mabaya ya fedha za umma Akisoma ripoti hiyo leo Jumatatu ikulu mjini Unguja, ,kaguzi mkuu wa hesabu za serikali ya Zanzibar, Dk Othman Abbas Ali, ametoa mfano wa miradi ya ujenzi wa hospitali 10 za wilaya na moja ya mkoa, kwamba malipo…