
Yanga paredi la ubingwa kuanzia Dodoma, kanuni zinaruhusu
Si unafahamu Yanga SC inahitaji pointi nne pekee ili kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu? Sasa basi vigogo wa timu hiyo wametumia akili nyingi ili kuwafurahisha wanachama na mashabiki wa timu hiyo kongwe hapa nchini. Ipo hivi; leo Jumatatu Yanga itakuwa Manungu Complex, Morogoro dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa raundi ya…