
Haki za binadamu kuundiwa mtalaa wa elimu
Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Pindi Chana amesema wizara yake kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, zinakusudia kuingiza kwenye mitalaa ya elimu masuala ya haki za binadamu. Amesema licha ya kuendesha elimu na mafunzo kuhusu haki za binadamu, wanawasiliana kwa karibu na wizara hiyo ili kuona uwezekano wa kuwa somo…