Wagombea kanda nne Chadema kikaangoni kesho

Dar es Salaam. Wakati kikao cha siku tatu cha Kamati Kuu ya Chadema kikianza leo Mei 11, 2024, baadhi ya wagombea wa uchaguzi wa kanda nne za chama hicho wameeleza hofu ya ushindani mkali uliopo katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu. Jumla ya watia 135 nia wa nafasi mbalimbali kutoka Kanda za Serengeti (Mara,…

Read More

Uvunjaji mikataba usiofuata sheria wamliza wakili mkuu

Dar es Salaam. Kwa mara nyingine Wakili Mkuu wa Serikali, Dk Boniface Luhende ametaja mambo matano yanayoweza kuathiri utendaji wa taasisi yake, akirejea uvunjaji wa mikataba kwa taasisi za umma bila kuzingatia sheria unavyoitia hasara Serikali. Uvunjaji huo wa mikataba licha ya kutozingatia sheria na kanuni, amesema unapofanyika ofisi yake haishirikishwi. “Baadhi ya taasisi za…

Read More

POWER IRANDA: Hizi ndizo siri za kiduku katika ngumi

UNAPOLITAJA jina la Twaha Kiduku, basi huwezi kuacha kumtaja kocha wake, Chanzi Mbwana Chanzi maarufu kama Power Iranda kwa kuwa ndiye aliye nyuma ya mafanikio ya mbabe huyo wa masumbwi nchini. Power Iranda amekuwa taswira ya Kiduku anapokuwa nje ya ulingo na ndiye anayehakikisha bondia huyo anapigana masumbwi na kupata mafanikio katika mchezo huo ambao…

Read More

Wagombea kanda nne Chadema kikaangoni leo

Dar es Salaam. Wakati kikao cha siku tatu cha Kamati Kuu ya Chadema kikianza leo Mei 11, 2024, baadhi ya wagombea wa uchaguzi wa kanda nne za chama hicho wameeleza hofu ya ushindani mkali uliopo katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu. Jumla ya watia 135 nia wa nafasi mbalimbali kutoka Kanda za Serengeti (Mara,…

Read More

Jamii yahamasishwa ushiriki Mwenge wa Uhuru

Unguja. Viongozi, wafanyakazi, wananchi, vikosi vya ulinzi na usalama pamoja na  wafanyabiashara wameombwa kushiriki mapokezi ya Mwenge wa Uhuru mwaka 2024. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita ametoa ombi hilo jana Mei 10, 2024 alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Zanzibar. Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kuwasili…

Read More

Majaliwa: Tengeni maeneo ya wananchi wafanye mazoezi

Mbeya. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa wilaya na mikoa kuharakisha kutenga maeneo kwa ajili ya wananchi kufanya mazoezi kwa lengo la kuwakinga na magonjwa yasiyoambukiza. Pia,  amewataka wakuu wa mikoa kuwaagiza wakuu wa wilaya kupiga marufuku watumishi wa idara ya ardhi kupima na kuuza maeneo ya wazi. Majaliwa amesema hayo leo Jumamosi Mei…

Read More