
Wydad yamganda Lakred, ishu nzima ipo hivi
TIMU ya Wydad Casablanca imeonyesha nia ya kumsajili kipa wa Simba, Ayoub Lakred kwa ajili ya msimu ujao. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo zimeliambia Mwanaspoti kwamba nyota huyo raia wa Morocco anataka kuondoka msimu ukiisha baada ya mkataba wake wa mwaka mmoja kumalizika jambo linalowatia wasiwasi mabosi wa Simba wanaomtaka abaki. Lakred aliyejiunga na…