
Uswiss na Msalaba Mwekundu wafanya maonyesho ya utu
Dar es Salaam. Ubalozi wa Uswisi nchini, kwa kushirikiana na Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) na Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS), wamezindua maonyesho ya ‘Dialogues On Humanity’ ya kuadhimisha miaka 75 ya mikataba ya Geneva ya mwaka 1949. Katika maonyesho hayo pia itaadhimishwa Siku ya Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu duniani. ‘Dialogues…