
NAIBU WAZIRI AZITAKA TAASISI ZA UMMA KUZINGATIA SHERIA, KUTUMIA NeST
Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande, amewataka maafisa ununuzi wa taasisi za Serikali kuhakikisha wanatumia Mfumo wa Usimamizi wa Ununuzi wa Umma Kielektroniki (NeST) pekee kufanya ununuzi wa umma na kuhakikisha wanauelewa kuhusu moduli ya kuwasilisha malalamiko kupitia mfumo huo. Maelekezo hayo ya Naibu Waziri ni msisitizo wa matakwa ya Sheria ya Ununuzi wa Umma…