
Mudathir afichua siri mabao ya jiooooni
KUNA siri kubwa nyuma ya mabao anayofunga kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya ambayo itawafunza wachezaji wengine kuzingatia baadhi ya mambo wanayoambiwa na makocha. Mwanaspoti limebaini kwamba asilimia kubwa ya mabao yake (tisa) amefunga kipindi cha pili, machache akifunga kile cha kwanza na Mudathri amefichua siri iliyopo. Sababu aliyoitaja Mudathir wanaporudi vyumbani, kitu kikubwa ni kusikiliza kwa…