
NACTVET WAKUTANISHA WADAU WA ELIMU ZAIDI YA 260 DODOMA
Na Okuly Julius, Dodoma Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET), Dkt. Adolf Rutayuga,leo tarehe 9 Mei,2024, jijini Dodoma, amefungua rasmi kikao cha wadau, kinachojumuisha Wakuu wa vyuo na maafisa udahili ambao jumla yao ni 267, kinachojadili masuala ya udahili na upimaji, ili kubaini dosari…