
TBS YATOA ELIMU YA ALAMA YA UBORA YA TBS KWENYE TAMASHA LA BIASHARA LA WANAWAKE NA VIJANA AFRIKA
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limetoa elimu ya alama ya ubora katika Tamasha la Biashara la Wanawake na Vijana Afrika (TABWA) lililofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Waandishi wa habari kwenye Tamasha hilo leo Mei 31,2024 Jijini Dar es Salaam, Afisa udhibiti Ubora (TBS), Vaileth Kisanga amesema Wajasiriamali hao…