
Mfumo wa wanachama unavyopoteza timu Ligi Kuu
Imebaki historia. Ndivyo unavyoweza kusema kuelezea maisha yanavyokwenda kasi hasa kwa timu zilizokuwa chini ya wanachama ambazo zilitisha miaka ya nyuma na sasa imebaki stori. Hii ni kutokana na zama kubadilika hasa baada ya teknolojia mpya ya mfumo wa mabadiliko ya kiuendeshaji kuziacha nyuma timu ambazo zilitegemea nguvu ya wanachama. Licha ya kwamba nguvu ya…