
BEI YA ZAO LA PAMBA 2024/2025 YATANGAZWA RASMI
Na Mwandishi wetu – Malunde 1 blog Wizara ya kilimo kupitia bodi ya pamba nchini imetangaza bei elekeziya ununuzi wa zao la pamba katika msimu wa mwaka 2024/2025 ambayo ni Sh 1,150/=kwa kilo 1 ya pamba. Sherehe hizo zilizoambatana na uzinduzi wa ununuzi wa zao la pamba kitaifa 2024/2025 zimefanyika leo katika Kijiji cha…