
MWENGE WA UHURU WAMULIKA MATUMIZI YA MFUMO WA NeST NA KUONGEZA UELEWA
Meneja wa Kanda ya Pwani , Vicky Mollel akipokea Mwenge wa Uhuru wakati wa mapokezi ya Mwenge Jijini Dar Es Salaam. Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika Wilaya tano za Mkoa wa Dar Es Salaam kuanzia tarehe 08- 12 Mei 2024. MAMLAKA ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imeshiriki katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru…