Lawi rasmi ni Mnyama | Mwanaspoti

DILI LIMEKAMILIKA: Ndivyo ilivyo baada ya klabu ya Simba kumsajili beki wa kati wa Coastal Union, Lameck Lawi kwa  mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu ujao. Lawi ambaye anamudu kucheza beki wa kati ataungana na Che Malone kucheza eneo hilo baada ya Henock Inonga na Keneddy Juma kutajwa kuondoka ndani…

Read More

Lissu awajibu CCM fedha chafu, Muungano

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Katibu wa Itikadi, Mafunzo na Uenezi wa CCM, Amos Makalla kuitaka Chadema kujisafisha kutokana na kauli ya Makamu Mwenyekiti (Bara), Tundu Lissu aliyedai kuwepo kwa fedha zilizomwagwa ili kuharibu uchaguzi wa ndani wa chama hicho, akisema hakuna mtu aliyemwambia amedanganya. Pia, amesema wanachomwambia angezungumzia kwenye vikao vya ndani…

Read More

Refa Msudani kuamua Azam vs Simba, viungo kuibeba mechi

ITAKUWAJE? Ndilo swali linalogonga vichwa vya mashabiki wa soka nchini kuhusu kukosekana kwa mshambuliaji wa Azam FC Mzimbambwe Prince Dube katika mechi ya leo ambayo wakali hao wa Chamazi watakuwa wenyeji uwanja wa Benjamin Mkapa kuikaribisha Simba ambayo Dube ameifunga katika mechi nne zilizopita mfululizo kabla ya kujiweka kando na timu hiyo. Mgongano wa maslahi…

Read More

Mwenge wa Uhuru wamulika ununuzi wa umma

Dar es Salaam. Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa mwaka 2024, Godfrey Mnzava ameshauri zabuni za ununuzi wa umma kutangazwa kwenye mfumo ili kupunguza malalamiko na manung’uniko. Mwaka 2023 Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) ilianzisha mfumo mpya wa ununuzi wa kieletroniki (NeST) utakaosaidia kudhibiti rushwa wakati wa mchakato wa zabuni,…

Read More

Ngoma aipa masharti Simba | Mwanaspoti

KIUNGO mkabaji wa Simba, Fabrice Ngoma amewapa masharti uongozi wa klabu hiyo, kama wanataka aendelee kusalia kikosini hapo, wasajili wachezaji wenye moyo wa kuipambania timu. Hivi karibuni kulikuwepo na tetesi za staa huyo kuletewa ofa na Pyramid, Al Alhy na Raja Casablanca, ila alitaka maombi hayo yapelekwe kwa uongozi wa Simba, kutokana na kuwa na…

Read More

Rais Samia aagiza bei ya gesi kupungua

Dar es Salaam. Huenda bei ya gesi ya kupikia ikapungua kutoka ile inayouzwa sasa, baada ya Serikali kuanza utekelezaji wa mkakati wa matumizi ya nishati safi ya kupikia. Dalili ya kupungua bei ya nishati hiyo, imetokana na kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuitaka Wizara ya Nishati ishirikiane na sekta binafsi kuona namna ya…

Read More

TAS yataka juhudi za pamoja kukabili unyanyapaa, ukatili

Dar es Salaam. Tukio la kujeruhiwa mtoto mwenye ualbino mkoani Geita limekiibua Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania (TAS), kikiikumbusha Serikali na mamlaka husika kuhusu uhitaji wa juhudi za pamoja za kukabiliana na unyanyapaa na ukatili. TAS imesema juhudi hizo ni pamoja na Wizara ya Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi, Vijana, Ajira na Wenye…

Read More