
BIL. 322.3 ZATENGWA UNUNUZI WA BIDHAA ZA AFYA NGAZI YA AFYA MSINGI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange (Mb) amesema Serikali imetenga jumla ya shilingi Bil. 322.3 kwaajili ya ununuzi wa vifaa vya huduma za Afya katika ngazi ya Afya Msingi. Kati ya fedha hizo shilingi Bil. 205 ni kwaajili ya ununuzi wa…