
Serikali kuimarisha huduma za maabara ngazi ya msingi
Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wafadhili wa Global Fund wametoa vifaa vya Tehama kwa Ofisi ya Rais TAMISEMI ili kusaidia kuongeza upatikanaji wa Huduma bora za maabara na afya kwa ngazi ya msingi. Hayo yamebainishwa leo jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Huduma za Uchunguzi na Matengenezo ya Vifaa Tiba, Dkt. Alex Magesa wakati akimwakilisha…