
TABORA UNITED KUSHUKA DIMBA LA MANUNGU KUWAKABILI MTIBWA SUGAR KESHO
Kikosi cha Timu ya Tabora United kesho kitashuka katika Uwanja wa Manungu Turiani mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Soka Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar utakaochezwa saa nane kamili mchana (8:00). Nyuki hao wa Tabora ambao kwa sasa wanasimamiwa na Kaimu Kocha Mkuu Masoud Juma Irambona kiliwasili salama jana…