
Mwendokasi Kigogo – Segerea kujengwa awamu ya 5
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Festo Dugange amesema ujenzi wa barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka ya Kigogo – Tabata Dampo hadi Segerea ni miongoni mwa barabara ambazo zimepangwa kujengwa katika awamu ya tano ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Dugange ametoa kauli hiyo leo…