
Katibu mkuu akemea uzinzi mahala pa kazi
Arusha. Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhandisi Zena Said ameonya mameneja rasilimali watu wa kada ya utumishi wa umma kujiepusha na vitendo vya ngono mahala pa kazi. Amesema hali hiyo husababisha upendeleo, migogoro na vurugu na mwisho wa siku morali ya kazi kwa watumishi hushuka. Zena ameyasema hayo leo Jumanne Mei 7,…